Alhamisi, 23 Februari 2017

MWIGIZAJI WA BONGO MOVI AJIUNGA NA CHADEMA.

Tokeo la picha la wema sepetu
WEMA SEPETU MWIGIZAJI WA BONGO MOVIE

Timothy Marko
MWIGIZAJI wa Bongo Movi WEMA SEPETU  anatarajiwa kutambulishwa na chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema kama kada rasmi wa chama hicho .

Wema SEPETU anatarajiwa kutambulishwa mapema hii leo katika makao makuu yaliopo kinondoni jijini Dar es salaam baada ya kwenda mahakama kuu juu yatuhuma za kuhusika na madawa yakulevya baada ya kuwepo kwaorodha yawatu wanatuhumiwa kujihusisha namadawa yakulevya .

Kwamujibu wachazo chetu cha habari kilieleza kuwa wema sepetu alishuka katika gari aina yajeep akiwa na baadhi yaviongozi wa chama hicho .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni