Jumatatu, 15 Desemba 2014

SERIKALI YA ZITAKA HALIMASHAULI ZILIZO NAKASORO KATIKAUCHAGUZI WASERIKALI ZAMITAA KURUDIA UCHAGUZI.


Waziri WA tamisemi Hawa GHASIA akizungumza nawaandishi wa habari mapema hii leo jijini Dar es salaam.




BAADHI yawaandishishi wahabari wakimsikiliza waziri watamisemi Hawa 

GHASIA AKIZUNGUMZA JUU YA TATHIMI NI YAUCHAGUZI 

Timothy Marrko.

KUFUATIA dosari  mbalimbali zilizo jitokeza katika uchaguzi wa serikali za mitaa ulionyaika jana, serikali imesema imesikitishwa na baadhi yavitendo vilivyowezakatika maeneo mbali mbali  katika uchaguzihuo  ulionfanyika jana nchini kote .
Akizungumza na waandishi wa habari mapema hii leo jijini Dar es salaam Waziri wa TAMISEMI Hawa GHasia amesema kufuatia vurugu zilizojitokeza katika uchaguzi huo wa serikali za mitaa ulio fanyika jana serikali inawataka wakuu wamikoa kuwa silisha taarifa rasmi kilichojiri katika mikoa yao ikiwemo kutoa taarifa katika kila halimashauri ya mikoa hiyo .
‘’tumeitaka mikoa iwasilishe taarifa rasmi na kamilifu kuhusu kilichojitokeza katika halimashauri hizo ilkuiwezesha wizara kuchambua taarifa nakuwabaini wote waliosababisha kasoro ili wachukuliwe hatua stahiki ‘’Alisema Waziri wa tamisemi Hawa GHASIA .
Waziri wa Tamisemi HAWA GHASIA alisema kuwa kushindwa kwa baadhi ya watendaji wa mitaa kusimimamia uchaguzi nikosa kubwa nakusisitiza kuwa kwawale watakao bainika watachukuliwa hatua ikiwemo kufukuzwa kazi,kuvuliwa madaraka ,kushushwa cheo na kukatwa mishahara yao .
Alisema endapo itatabainika kuwa kuna baadhi ya Halima shauri hazikufanyavizuri katika kusimamia uchaguzi uchaguzi huo utarudiwa katika kipindi cha siku saba kwa mujibu wa kanuni zauchaguzi wa  serikali za mitaa

WASERIKALI ZA MITAAA .


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni