Waziri wamambo yanje na jumuhia ya jumuhia ya afrika mashariki Balozi Agustino Mahiga |
Timothy Marko.
WAKATI Tanzania ikiwa Mwenyekiti wa jumuhia ya nchi za kusini mwa Afrika (SADEC) imelezwa kuwa moja yachangamoto zinazo ikabili jumuhia hiyo nipamoja na hali yakisiasa ya nchini Congo baada ya Rais wa nchi hiyo kutaka kujiongezea muda wakukaa madarakani .Akizungumza na waandishi wa habari katika kikao cha siku moja cha nchi wanachama wajumuhia hiyo jijini Dar es salaam Waziri wamambo yanje na jumuhia ya jumuhia ya afrika mashariki Balozi Agustino Mahiga amesema kuwa Tayari jumuhia hiyo imeshamtuma Msuluhishi wa maswala yakikatiba nasheria Jaji Fredick Werema anayetoka nchini Tanazania ambaye pia aliwahi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali ya awamu yanne Dk.JAKAYA KIKWETE katika nchi ya kidemokrasia ya watu wacongo (DRC) ilikuweza kubani juu yautekelezwaji wa sheria na katiba katika nchi hiyo .
''Tayari Tumesha mtuma muwakilishi wakutoka Tanzania Jaji Fredrick Werema ilikuweza kutafuta suluhu juu yamgogoro wakikatiba ulipo katika nchi hiyo baada ya Rais JOSEPH KABILA kutangaza kuwa anatawania kitihicho tena ''Alisema Waziri wa mambo yanje DK.Agustino Mahiga .
Waziri Mahiga amesema kuwa sambamba nanchi yakongo kuwakatika mgogoro wakikatiba ,Mahiga aliwaambia waandishi wahabari kuwa nchi yalethotho ambayo imkuwa mwanachama katikajumhuia hiyo wanachi wameanza kupigakura yakutokuwa naimani na Rais alikuwa madarakani .
Alisema Tarehe yaleo niyakihistoria kwa baada yanchi hiyo kupinga Rais wanchi hiyo waziwazi hali inayosabisha kuchafuka kwa hali yakisiasa katika nchi hiyo .
''Tarehe ya Leo ya febuari 24 niya kikistoria kwani wananchi katika nchi hiyo ya lethotho kupinga utawala wa nchi hiyo na kuweka wazi shauri lakutokuwa naimani na rais huyo''Aliongeza Mahiga .
KATIBU Mtendaji wa Jumuhia ya SADEC Stagomena LAURANCE amesema kuwa hatua yakujengwa jengo lamwlimu nyerere katika makao makuu ya tasisi hiyo nikitendo kilicho pongezwa na nchi ya Tanzania kuwa nikitendo chakukuza diplomasia baina nchi hiyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni