Naibu wa wizara ya Mambo ya Ndani Hamad Masauni . |
Timoth Marko.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani yanchi Hamad Masauni amewataka Jeshi la Uhamiaji na zimamoto nchini kuwezakutengeneza sare zao kupitia wafungwa waliopo katika gereza la ukonga ilikuweza kuwajengea uwezo wafungwa hao uwezo wakufanya kazi na kujitegemea pindi mudawao wakukaa magerezani unapokwisha .
Kauli hiyo imetolewa mapema hii leo jijini Dar es salaam Wakati Naibu Waziri huyo alipo tembelea gereza hilo la ukonga kujionea shughuli zinazofanywa na wa fungwa hao kufuatia hivi karibuni Rais Jonh Pombe Magufuli kumuagiza Naibu waziri huyo kumtaka aweze kutembelea gereza hilo nakuwataka kuwahimiza wafungwa hao kuweza kuwa hamasisha kufanya kazi ililkuweza kuinua uchumi wa nchi .
''Katika GEREZA la ukonga nimetembelea miradi minne kufuatia Rais Dk.JONH Magufuli kuaniagiza kuweza kufuatilia magizo yake nakuhakikisha utekelezaji wake unafanyika ''Alisema Naibu waziri Hamad Masauni .
Akizungumza na wandishi mara baada yakutembelea miradi hiyo Naibu Waziri Masauni alisema kuwa miradi aliyoweza kutembelea nipamoja na miradi ya utengenezaji wa samani inayosimamiwa na gereza hilo kupitia viwanda vilivyomo katika gereza hilo .
Alisema sambamba nakuweza kutembelea kiwanda hicho cha samani pia waziri huyo aliweza kutembelea miradi ya nyumba za bei nafuu zilizogharimu shilingi bilioni kumi ambapo awali Rais Magufuli aliweza kutoa fedha hizo ilikuhakikisha miradi yanyumba hizo inakamilika kwa wakati .
''Dira ya awamu yatano ya Tanzania nikukuza sekta yaviwanda nakuhakisha wafungwa wanafanya kazi nakuhakikisha taasisi za magereza kuweza kubana matumizi ''Aliongeza Naibu waziri Masauni .
Naye mkuu wa Kiwanda cha samani hizo kinachosimamiwa na Magereza ukonga Kamishina Wamagereza Ismail Mlawa amesema kiwanda hicho kinajumla yawafungwa 753 wanaojifunza shuguli mbalimbali za uzalishaji ikiwemo kutengeneza samani .
Alisema Kiwanda hicho kinacho wachukua wafungwa 753 kilianza tangu 1952 ambapo kati yashughuli zinzofanywa na wafungwa walipo katika gereza hilo nipamoja nakutengeneza sare zawafungwa sambamba nautengenezaji masofa pamoja nasabuni .
''miradi iliyo hapa nipamoja nautengenzaji masofa pamoja nasare na sabuni hii inawawezsha wafungwa hawa kuwajengea misingi yaraia wema nawaweze kuzaisha mali nakulitea taifa tija katika harakati za kuelekea uchumi waviwanda ''Alisema .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni