WAZIRI WAFEDHA NAUCHUMI PHILIP MPANGO |
SERIKALI imewataka wafanyabishara wote nchini kuweza kutoa mapendekezo juu yamabadiliko yakodi ilikuweza kufanyiwa uchambuzi nakuweza kufanyiwa marekebisho katika bajeti ya mwaka ujao wa fedha .
Wito huo umetolewa na Waziri wa Fedha na Mipango Philip Mpango wakati akizungumza nawaandishi wahabari jijini Dar es salaam ambapo amewataka wafanyabisha wote nchini kuweza kutoa mapendekezo mazuri ambayo yatatumika kuboresha nmfumo wakodi nchini .
''Napenda kutoa Rai kwa watanzania wenzangu kuhakikisha wanadai risiti za Efd Kama Mheshimiwa Dkt.Johnpombe Magufuli Rais watanzania alivyotuagiza kwani mtu asiyetoa risiti anatenda kosa lajinai ''Alisema WAZIRI wa FEDHA DK.Philip Mpango .
Dk.Mpango alisemakuwa Kilamtanzania anawajibu wakulipa kodi ilikuweza kuchochea maendeleo yanchi nakuzitaka sekta zote zakilimo uvuvi mifugo na biashara kushiliki katika kulipa kodi .
Alisema Viwanda vidogo vya kati navikubwa ninaomchango mkubwa katika kujenga uchumi nakusisitiza kuwa kulipa kodi ndio njia pekee itakayo chochea huduma bora kwajamii .
''serikali ninatoahuduma bora zaidi za umeme barabara ulinzi nausalama elimu nahuduma nyinginezo ilikuwawezsha wananchi walio wengi kunufaika nauchumi ambao unajengwa kwa kufanya kazi nasi vinginevyo''Aliongeza .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni