Jumatatu, 23 Januari 2017

DSE YAWATOA HOFU WATEJA WA SWISPORT NCHINI .

Tokeo la picha la mususa
MENEJA Biashara na Mauzo wa Soko lahisa la Dar es salaam Patrick Mususa
Timothy Marko.
MENEJA Biashara na Mauzo wa Soko lahisa la Dar es salaam Patrick Mususa amesema kuwa hatua ya Kampuni ya swisport kutoa Gawio kwa wateja wake imetokana namwitikio mkubwa wa wateja katika kampuni hiyo.

Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Patrick Mususa amesema kuwa kwa kadiri yathamani yahisa inapoongezeka kutoa kwenye kampuni hiyo ndivyo ongezeko la Gawio kwa wateja walionunua hisa katika kampuni hiyo ndivyo wanavyoweza kunufaika .

''Ongezeko hili la gawio llitokanalo nathamani yabei yahisa linatokana mwekezaji atakapo amua kuuza hisa zake katika hatuahii muwekezaji anapata taarifa zaongezeko la gawio kutoka kwenye vyanzo mbalimbali ikiwemo vyombo vyahabari juu yaongezeko hilo kwamatumaini ilikuweza kupata faida ''Alisema Patrick Mususa .

Mususa alisema kuwa hatua hii iliyoliyopendekezwa nakamati yabunge inalenga kukukza maendeleo yakiuchumi kwa wananchi wake nakuondokana naumasikini kutokana nakununua hisa za makampuni mbalimbali yaliyo orodheshwa nakutambulika nasoko hilo .

Alisema serikali ya awamu yatano imejikita katika uzalishaji wa mitaji ili kuweza kutoa fursa kwa wajasilimali wadogo wadogo kuweza kukuza mitaji yao kupitia uwekezaji wahisa .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni