MKUU WA MKOA WA SIMIYU ANTONY MATAKA . |
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony Mataka amewataka bodi ya majengo kuweza kutekeleza agizo la serikali ya kujenga nyumba za watumishi wa umma nchini nakuondokana natatizo la matumizi mabaya ya fedha za umma .
Akitoa kauli hiyo mapema hiileo katika ziara yake yakutembelea nyumba za bei nafuu zilizojengwa bei nafuu jijini Dar es salaam Antony Mataka amesema kuwa hatua yakutekeleza agizo hilo ambalo limetolewa hivi karibuni na Rais wajamuhuri wa muungano wa Tanzania Dk.Jonh Pombe Magufuli yakuitaka bodi hiyo kusimamia ujenzi wa nyumba za serikali ikiwa nikielezo cha utendaji wa bodi hiyo kwa miaka mitano .
''Nchi hii Mheshimiwa Rais anataka kuona kielelezo cha kazi zake kwa miaka mitano ,kwa bahati nzuri wakala wa majengo (TBA)wamechukua hatua yakujenga majengo haya nakufanya ukarabati wanyumba hizi ikiwa nikielezo cha miaka mitano yamheshimwa Rais kuwa nyumba za bei nafuu inawezekana ''Alisema Mkuu wa mkoa Wa simiyu Antony Mataka .
Mataka amesema kuwa hatua ya TBA kujenga majengo hayo yanayo gharimu shilingi bilioni 10 ambayo yamejengwa kwa miezisita katika jiji la Dar es salaam limeweza kumvuatia mkuu huyo ya kutoa ombi yakujenga nyumba za mkoa wa simuyu ambazo ni nafuu .
Alisema hatua yakujenga majengo hayo ya gharama nafuu yanatoa hamasa kubwa kwa bodi hiyo kupewa ukandarasi wa Mabweni ya chuo kikuu cha Dodoma ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Rais Magufuli kuweza kujenga mabweni hayo nakuondokana natatizo la wanafunzi wachuo hicho kuweza kupanga Mitaani.
''Ujenzi huu wa majengo haya nihatua nyingine inayo chochea yaujenzi wa mabweni katik a chuo cha Udom ambapo ujenzi huu unatoa tahimini ya gharama nafuu ya majengo ''Aliongeza MATAKA .
Naye mkurugenzi wa Taasisi hiyo TBA ELIUS mwakalinga amesema ujenzi huo wa majengo hayo niwakitalamu baada yakufanya tahimini yagharama za ujenzi wa majengo hayo pamoja natathimini ya micho ro ya jengo hayo.
Alisema nakuitaka wakandarasi wa majengo hayo kuweza kujisajili ilikuondokana na watendaji wasiokidhi viwango ilikuweza kujua gharama halisi ilikuweza kuipunguzia serikali mzigo wa ujenzi wa majengo hayo .
''tunataka wakandarasi wamajengo wanaosimamiwa na baodi hii kuweza kujisajili ilikuweza kupunguza gharama za ujenzi wamajengo yaserikali yasiyo naulazima kwani hapo awali kulikuwa na udanganyifu wa gharama za ujenzi wamajengo haya ''Alisema .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni