Jumatatu, 23 Januari 2017

UTUMISHI KUAHAMIA DODOMA .

Timothy Marko
WAZIRI wa nchi ofisi ya Rais Menejimenti yautumishi wa umma nchini Angela Karuki amesema kuwa ofisi yake kuanzia leo inatarajia kuhamia Dodoma ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamuhuri yamuungano Wa Tanzania DK.Jonh Magufuli kuzitaka Taasisi nawizara zilizo chini yake kuhamia Dododoma .


Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Waziri Angela Karuki amesema hatua hiyo inafuatia baada ya wazirimkuu Kassimu Majaliwa kuhamia Dodoma september Mwaka jana .

''Leo nami napnda kuaharifu umma kuwa ofisi yarais Menejimenti yautumishi wa umma tayari imeshakamilisha maandalizi yote yakuhamia mjini Dodoma''Alisema Angela Kairuki .

Waziri karuki amesema kuwa katika hatua za awali vifaa vyaofisi hiyo tayari vimepelekwa katika mji huo kwajili yakuanza kazi ikifuatiwa nawatumishi waote waumma ikiwemo viongozi wawizara katibu mkuu pamoja na wakurugenzi .
alisema ofisi hiyo inatarajia kuanza shughuli zake januari 30 mwaka huu katika jengo la COllage of Hummanities and Social Science  lililopo katika chuo chaudom .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni