WAZIRI WA AFYA MAENDELEO YA JAAMII JINSIA WAZEE NA WATOTO Ummy Mwalimu |
WAKATI Tanzania ikielekea uchumi wa viwanda imebanika kuwa Mimba za utotoni nikiwazo cha kufikia malengo hayo yanayotaraiwa kukamilika mwaka 2025 .
Hayo yamebanishwa na waziri wa afyamaendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto Ummy Mwalimu wakati akizindua Ripoti ya utafiti wa hali ya afya ya uzazi na viashiria vya malaria 2015-16 mapema hiileo jijini Dar es salaam ambapo amesema kuwa zaidi ya 27 yawanawake navijana wenye umri 15-27 wapokatika umri wakuzaa ambapo zaidi yakayanyingi zilizopo vijijini amabazo nimasikini wamo katika hatari kubwa yakuzaa katika umri mdogo .
''Ongezeko la Mimba za utotoni imepanda kutoka asilimia 23-27 kati ya watoto miamoja kwahiyo wazazi wezangu hatuwezi kufikia Tanzania yauchumi wa viwanda kama hatu tadhibiti mimba za umri mdogo ''Alisema Waziri Ummy Mwalimu .
Waziri Wa afya Mwalimu alisema kuwa nilazima jamii nawanawake kwajumla kufikiria zaidi juu yaongezeko la watu nathari kubwa katika uchumi waviwanda kwani inakadiriwa kila mwanamke nchini huzaa watoto watano nakufanya ongezeko la idadi ya watu la asilimia 2.2
Alisema kuwa ilikuondokana natatizo lamimba zautotoni nilazima jamii iweze kubadilika nakuweza kukemea vitendo viovyu vitakavyo sababisha tatizo lamimba za utotoni kuweza kuongezeka .
''katika hili ilikuweza kumpa fursa mtoto wakike kuweza kupata elimu nitajaribu kukaa na wezanzangu kuweza kujadili yakumruhusu mtoto aliyepata ujauzito kuweza kuendelea na masomo ili kuweza kumuwezesha mtoto wakike kupata elimu ''Aliongeza Waziri Ummy Mwalimu .
Katika hatua nyingine Ripoti hiyo ilieleza kuwa wanawake nchini Tanzania huzaa muda mfupi baada ya ndoa katika umri wa wastani wa miaka 19.7 ikilinganishwa wanawake wenye elimu ya sekondari waliokati ya umri 18na 24.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni