MKURUGENZI WA TACAIDS Leonard Maboko |
Wakati Tanzania ikijikita katika uchumi waviwanda ilikufikia malengo yake yakuwa katika nchi zenye uchumi wakati,mambukizi ya virus vya ukimwi bado imekuwani changamoto.
Hayo yamebanika mapema hii Leo jijini Dar es salaam na
Mkurugenzi wa tume yakudhibiti ukimwi nchini Dk.Leonard Maboko ambapo
amesema kuwa katika kipindi cha mwaka2011/12 maambukizi ya vvu yamekuwa
kwa asilimia 5.3 ikilinganishwa mwakajana kiwango hicho kimeshukakwa
asilimia14 kwa nchi za ukanda wa afrika mashariki.
'' wanawake ndio wameonekana kuathirikazaidi ambapo zaidi ya
asiliamia5.3wamekuwa wathirika wa vvu ,Mkoa wa Njombe ndio wenye
kiwango cha juuu cha maambukizi14.8'"Alisema Dk.Leonard Maboko.
Maboko amesema kuwa katika malengo ya dunia nikihakikisha dunia inautokomeza ugonjwa huo ifikapo mwaka2030.
Alisema kuwa kutokana shirika la umoja wa mataifa linloshughulikia masuala ya ukimwi kufikia tisini Tatu kwa watu wote wanaokisiwa kuwa maambukizi .
"Maelekezo ya umoja wa mataifa yanazitaka nchi wanachama wake kuwa anzishia dawa wote maramoja watakaogundulika naugonjwa huu," aliongeza Maboko.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni