Alhamisi, 29 Desemba 2016

TUME YA UTUMISHI WAUMMA YAWATAKA WATUMISHI,WAAJIRI WAUUMA KUWEZA KUZIFAHAMU SHERIA ZA KAZI.

Tokeo la picha la KATIBU MSIDIZI WA TUME YA UTUMISHI WAUMMA
KATIBU MSAIDIZI WA TUME YA UTUMISHI WA UMMA NCHINI Renatus Mgusii akizungumza na wa andishi hawapo pichani leo jijini Dar es salaam

Timothy Marko .
Tume ya utumishi wa umma imewataka watumishi waumma nchini  kuweza kujitokeza katika taasisi hiyo ilikuweza kukuza uelewa wa haki zao nakuweza kuzifahamu sheria na utaratibu wakuwasilisha rufaa zao pindi wanapo pata changamoto ya kufukuzwa kazi katika maeneo yao yakazi.

Wito huo umetolewa mapema hii leo jijini Dar es salaam na Katibu Msaidizi wa Tume hiyo Renatus Mgusii ambapo amewataka mamlaka zinzoshughulika namasuala mbalimbali ya nidhamu nilazima wawasilishe vielelezo vya mtumishi husika mara baada ya kupokea nakala ya rufaa husika .

''Katika Kutekeleza maagizo ya tume ikiwa nimaamuzi husika haukukatwa rufaa na mheshimiwa Rais ,uzingatiaji washeria nakanuni pamoja nataratibu katika hatua zote za kushughulika rufaa za watumishi kutawezesha kupata haki anayostahili kwawakati nakuwezesha kujenga utumishi uliotukuka ''Alisema katibu Msaidizi Renatus Mgusii.

Katibu Msaidizi Mgusii alisema kuwa katika kipindi cha mwaka jana na mwaka huu tume hiyo iliweza kupokea rufaa 66 kwa watumishi ambapo kati yahizo rufaa 36 ziliweza kukataliwa kutokana nakukosa vigezo .

Alisema hatua yakukataliwa rufaa hizo 36 kumetokana tume kuweza kukubaliana naadhabu waliopewa rufani hizo kuwa walistahili kupewa Adhabu hizo .
''Rufani zilizo kataliwa 10 zilikabiliwa na mashariti kuwa rufani hizo zianze upya hii ikimanisha kuwa wanarufani watuhuma za kujibu lakini sheria nataratibu hazikuweza kuzingatiwa katika kufikia mashauri husika ''Aliongeza Mgusii .

Alongeza katika Rufani kumi zilizo kubaliwa bila masharti ikimaanisha kuwa kuwa uamuzi wamamlaka za nidhamu ulitenguliwa na tume kwamba tuhuma dhidi yawatumishi hao hazikuweza kuthibitika hivyo hawakustahili kupewa adhabu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni