Ijumaa, 30 Desemba 2016

EWURA YATANGAZA VIWANGO VIPYA VYA BEI YA UMEME.

Tokeo la picha la MKURUGENZI MKUU WA EWURA

MKURUGENZI Mtendaji wa Mamlaka ya udhibiti wanishati naumeme EWURA FELIX kamlogosi akizungumza nawandishi wahabari hawapo pichani mapema hii leo ,jijiini Dar es salaam

Timothy Marko.
MAMLAKA ya udhibiti wamaji nanishati nchini (Ewura)imetoataarifa ya ongezeko la gharama za bei yaumeme itakayo tumika kuanzia january mosi mwakani .

Akitoa taarifa hiyo kwa vyombo vyahabari mapema hii leo jijini Dar es salaam Mkurugenzi wa Mamlaka hiyoFelix Kamlogosi amesema kuwa bei yanishati yaumememe inatarajia kubaika kiwango kilelkile cha shilingi 350 kwa watumiaji waumeme wenyematumizi kilowati 0-75 huku bei hiyo itangezeka kwa wafanyabiashara wanyumbani wanaotumianishati hiyo kutoka shilingi 292 kwa kilowaite hadi shilingi 338 kwa kilowaite.

''Wateja wenyematumizi ya kawaida ambao niwateja wamajumbani kwenye biashara nawanatumia taa za barabarani amambao umeme wao wunatoka kwenyemsongo mdogo wa umeme kwenye njiamoja nanjia tatu wataongezewa bei yaumeme kutoka shilingi 292 hadi kufikia shilingi 338 ''Alisema Mkurugenzi Felix Kamlogosi .

Mkurugenzi Kamlogosi alisema kuwa kwawateja wenyematumizi yakawaida wa viwanda vidogo vidogo mabango naminara yasimu unaotolewa umeme wamsongo mdogo wenye njiatatu (400V) bei yanishati hiyo inatarajiwa kupungua kutoka 292 hadi shilingi 182 .

Alisema kwa wateja walionganishwa katika msongo mkubwa waumeme yani medium votage bei yagharama inatarajiwa kuongezeka kutoka shililingi 157 hadi kufikia 187.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni