WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA Charles Mwijage |
Serikali imesema itatendelea kudumisha hali yauwekezaji wa sekta yacementi nchini ,Licha kuwepo kwa madai ya kupanda kwa gharama za uzalishaji ikilinganishwa na bei ya Bidhaa hiyo nchini Afrika kusini .
Hivi karibuni kumekuwa Madai ya Muwekezaji Mkubwa wa Sekta hiyo nchini Aliye namakapuni makubwa yauuzalishaji Cement nchini Nigeria na Afrika kusini kutishia kujiondoa katika biasharahiyo nchini kwa madai ya Gharama kubwa za uzalishaji ikilinganishwa na Afrika kusini.
Akizungumza na waandishi wa Habari Mapema jijini Dar es salaam Waziri wa viwanda nabiashara Charles Mwijage amesema kuwa hali ya gharama za uzalishaji zipo zakuridhisha ila inamtaka mzalishaji huyo kuweza kutumia maghafi zilizopo nchini ili kuwezesha wananchi kuweza kuuza maghafi hiyo nakuweza kuletea nchi Mapato yatokanayo nakodi .
''Hadi kufikia jana Malighafi ya Makaa ya Mawe katika soko la Afrika kusini katika soko ladunia ni dola Milioni 103 wakati Tanzania bidhaa hiyo inauzwa shilingi Dola Milioni 90 lakini tunamtaka Dangote kama kuna malamiko apeleke malammiko yake katika DAWATI linalo shughulika nabei za makaa yamawe ''Alisema waziri waviwanda nabiashara Charles Mwijage .
Waziri Mwijage alisema kuwa madini yamakaa yamawe yanayozalishwa nchini nibora yanayoalishwa nchini afrikakusini nakuwataka wanao zalisha bidhaa hiyo kuzalisha kwawingi ilikunusuru viwanda vya Tanzania pamoja naajira kwavijana kupitia sekta hiyo.
Alisema kuwa wakati Dangote ana daikuwa makaa yamawe yanayozalishwa nchini nighali lakini makaa yamawe katika nchi ya Tanzania ya nauzwa dola milimioni 39 ikilinganishwa dola milioni 83.
''Nichukue fursa hii wenye viwanda kutoka Tanzania kuzalisha zaidi mkaa zaidi ilikuweza kuzalisha ajira kwa vijana ''Aliongeza Mwijage
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni