TAASISI YA UTAFITI YA REPOA |
Imebanishwa Kuwa licha ya wanawake kuwezeshwa kiuchumi kundi hilo lilinakabiliwa natatizo laumiliki warasmali ambapo Rasmali nyingi wanazomiliki zimekuwa chini ya uangalizi wa Wanaume ambao ni waume zao .
Kauli hiyo imetolewa na Mtafiti wa Taasisi ya Utafiti ya Repoa Bi.Flora Myamba wakati akizungumza na waandishi wa habarijijini Dar es Salaam juu yazoezi lautafiti ya namna ya kuwawezesha wanawake navijana kiuchumi iliyofanyika katika mikoa mbalimbali nchini .
''Tunaendelea kufanyautafiti huu mwakani lengo la utafiti huu nikuona namnagani miradi iliyobuniwa natasaf iinavyo wanufaisha wanawake navijana ilikuondokana natatizo la umasikini wakipato ''Alisema Mtafiti Flora Myamba .
Mtafiti Myamba alisema kuwa taasisi yaTaasaf inafanya uchunguzi wa kaya ambazo zinamahitaji ilikuweza kusaidiwa kiuchumi lakini hata hivyo taasisi hiyo imebaini usimamizi wa rasmali kwa wanawake bado upo katika kiwango cha chini ambapo baadhi ya kaya hizo rasmali zake zipo chini yauangalizi wawanume .
Alisema Katika utafiti huo ulionesha kuwa Wanawake wamekuwa wakikabiliwa na changamoto yamuda katika kujiwezesha kiuchumi kwani kundi hilo limekuwa likiutumia muda mwingi katika shughuli za nyumbani kuliko kuzalisha kipato .
''Kutoa fedha kwa wanawake ni kitu muhimu ilkuweza kuwezeshwa kiuchumi nakuweza kumiliki rasmali katika hatua hii tumeweza kuwajumuisha vijana waliokati ya umri 28 na 35 ilikuweza kujiweza kiuchumi ''Aliongeza Myamba .
Myamba aliongeza kuwa katika utafiti uliofanywa na taasisi hiyo ulibaini kuwa vijana wengi wapo katika msongo wa mawazo hali inayochangia kuingia katika vikundi hatarishi ikiwemo ngono zembe .
Naye Kaimu Mtalamu wa Utafiti wa Mfuko wa kusaidia kaya masikini Tasaf Tumpe Lugogo amesema kuwa mfuko huo ulianzishwa mwaka 2012 nakuweza kufanyakazi mwaka 2013 ukiwa nalengo za kuzitambua kaya masikini .
Alisema kaya hizo hupewa kiasi cha shilingi 38000 ilikuweza kujikwamua naumasikini ambapo mradi huo umeweza kulenga kuwafikia kaya milioni 1.4 ambapo kati yao nimakundi ya wanawawke navijana ndio waliolengwa .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni