Jumanne, 13 Desemba 2016

MIPANGO YA MAENDELEO HAIWEZI KUFIKIWA IKIWA KUNA VITENDO VYA UKATILI .

Tokeo la picha la ummy mwalimu

Waziri wa Afya Maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto Ummy MWALIMU

Timothy Marko.
SERIKALI imesema kuwa mipango ya Maendeleo iliyojiwekea haiwezi kufikiwa ikiwa jamii ya Wanawake na watoto itaendelea kufanyiwa vitendo vya ukatili .

Kauli hiyo imetolewa hii leo na Waziri wa  afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto Ummy Mwalimu wakati akizindua mpango kazi wa taifa wakutokome za ukatikili dhidi yawanawake nawatoto wa mwaka 2017/18 jijini Dar es salaam ,ambapo amesema licha yakuzinduliwa kwampango huo tatizo la ukatili wa wanawake na watoto hapa nchini ilimekuwa likikua siku hadi siku .

''Kwamujibu wa takwimu za jeshi lapolisi Tanzania vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake viliripotiwa kwa kipindi cha mwaka 2015 vitendo vya ukatili 22,876 viliweza kuripotiwa  wakati huo mwaka 2012 jumla vitendo 3444 vilikuwa nitendo vya ubakaji wakati matukio ya shambulio namatusi nakujeruhi vilikuwa 14 ,561''Alisema Waziri wa Afya Maendeleo yajamii Ummy Mwalimu .

Waziri wa afya Mwalimu alisema kuwa katika kipindi cha mwaka 2010 tafiti zilionesha kuwa wanake walio kati yamiaka 15 -49 walifanyiwa vitendo vya ukatli wa shambulio la mwili ndani miezi 12 kabla yakufanyika kwa utafiti huo .

Alisema kuwa katika taarifa yaukatili wakijinsia tafiti hiyo ilioneshakuwa kumekuwa navitendo vya kipigo ,ubakaji na ulawiti na mauaji yavikongwe nawatu wenye ualbino sambamba na usafirishaji wabinadamu  pamoja navitendo vya ukeketaji .

''Takwimu zinaonesha kuwepo kwa kwatatizo la ndoa za utotoni ,ambapo zaidi ya asilimia 59 wakati tatizo la mimba za utotoni niasilimia37 takwimu hizi zinzonesha ukubwa wa watatizo laukatili dhidi ya wanawake nawatoto katika jamii zetu ''Aliongeza Waziri Ummy MWALIMU .

Katika hatua nyingine taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa nishati na MADINI kwaniaba yawaziri wanishati Sospeter Muhongo ilionesha kuwa ukosekanaji wanishati yaumememe maeneo yavijijjini kumekuwa kukichangia vitendo vya ukatili wa kijinsia .
Ilisema Taarifa hiyo kuwa katika takwimu za wizara hiyo imeonesha katika kipindi cha OCTOBER 2016 Matumizi yanishati yakisasa yameongezeka kwa asilimia 41 kutoka asilimia 30 kwakipindi cha mwaka 2015 .

''kuongezeka kwanishati yakisasa kunawafanya wanawke wengi waliopo katika maeneo yavijijini  kutumia muda huo kutumia katika shughuli za maendeleo sambamba kupunguza athari za matumizi yamishumaa kwa wanafunzi kwakujisomea ''ilisema taarifa hiyo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni