Timothy
Marko.
Nchi za
afrika zimetakiwa kuwekeza katika sekta yanishati kwa kuweza kuboresha
miundombinu ya sekta hiyo ilikuwa nanishati ya uhakika ilikuweza kujenga uchumi
endelevu .
Wito huo
umetolewa na Waziri Wa Mazingira Ofisi ya Makamu Wa Rais January Makamba katika
mkutano wamaboresho ya sekta yanishati katika ukanda wa bara la afrika jijini
Dar es salaam ambapo amesema kuwa wakati nchi za kiafrika zikiwa naalengo
yakufikia uchumi wa viwanda nilazima sekta yamiundombinu ya nishati iweze
kupewa mstali wa mbele .
‘’Katika
baadhi yanchi barani afrika kumekuwa natatizo la miundombinu hatarishi ambayo
pia nimibovu ambayo pia nihatari kwa jamii nyingi za kiafrika ‘’Alisema waziri
wa Mazingira ofisi ya Makamu wa Rais January Makamba.
Waziri
Makamba alisema kuwa kumekuwa naunganishaji wa miundombinu hatarishi katika
zoezi la unganishaji umeme huku wakati huo huo jamii nyingi zilizo masikini
zipo katika mazingira hatarishi katika unganishwaji wa sekta hiyo katika
kiwangocha kitaifa .
Alisema
kuwepo kwa miundombinu hatarishi kunachangiwa na sera zisizo wezeshi katika
unganishwaji wa umeme katika ngazi yakitaifa ,hali inayochangia sekta hiyo
kuweza kusua sua katika kuchangia pato lataifa namaendeleo kiujumla .
‘’kumekuwa
nachangamoto kubwa katika utungaji wasera ikiwemo kutungasera za utunzaji wa
miundombinu ya Nishati hali inayo changia sekta ya nishati katika ukanda wa
bara afrika kuwa nyuma ilkuweza kujenga uchumi endelevu ‘’Aliongeza Waziri
Makamba .
Katika hatua
nyingine Mshiriki wa mkutano huo wakutokataasisi
ya usambazaji vijijini Wind Moon Rashid Shamte amesema kuwa taasisi hiyo
inalenga kutoa huduma yausambazaji umeme inatakiwa shirikishi baina ya serikali
na taasisi binafsi.
Alisema
Taasisi hiyo imelenga kuisaidia serikali katika kuboresha mazingira
yausambazaji umeme kupitia nishati yaupepo katika vitongoji vya mkoa wasingida
ambapo jumla ya megawati mimamoja zitatumika kusambaza kwa kila kijiji
ilikuweza kupata nishati hiyo ya umeme .
‘’Mradi huu
unaofadhidliwa nabenki ya dunia unalenga kuwanufaisha wananchi wasigida pamoja
navitongji vyake ambapo kupitia mradi huu utaweza kupunguza gharama za umeme
kwa mtumiaji ‘’Alisema Rashidi Shamte.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni