Jumatatu, 19 Desemba 2016

JENISTA MUHAGAMA NITAPITIA SERA NAKUWEZA KUHAKISHA WANAWAKE WANALINDWA

Tokeo la picha la jenista mhagama
WAZIRI WA MUNDO MBINU  JENISTA MUHAGMA.
Timothy Marko
WAZIRI wa Ajira na Watu wenye ulemavu nchini Jenista Muhagama amesema kuwa atapitia sera ya ajira kwaupya nakuweza kupitia sheria ilikuhakikisha wanawake wanalindwa katika maeneo yao ya kazi nakuondokana na vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia.

Akizungumza Katika Kikao cha jumuhia ya wafanyakazi wauuma (Tucta)jijini Dar es salaama mapema hii leo Waziri Jenista Muhagama amesema baadhi ya waajiri wakiume wamekuwa wakitumia nafasi yawananawake kuwa niwadhaifu ili wanaume na baadhi ya waajiri wamekuwa wakifanya vitendo vya unyanyasaji ilikuweza kulitawala kundi hilo.

''Wanaume wamekuwa wakitumia nafasi yao ilikuweza kututawala nilazima sisi wanawake tuweze kusimama kipaumbele ,sisi wanawake tunaweza ninaamini tukiwa pamoja tutaweza kuleta tija katika taifa letu''Alisema Waziri Jenista Muhagama .

Waziri Muhagama alisema kuwa aliomba kundi hilo kuweza kuvuta subira ili atakapo peleka changamoto za wanawake katika ajira kwa Rais Magufuli kundi hilo liweze kupewa umuhimu unaostahili na kuondoakana tatizo la unyanyasaji wakijisia mahala pakazi .
Alisema kufuatia endapo kundi hilo litaweza kutumia fursa zilizopo nchini kundi hilo litaweza kujikwamua kiuchumi kwani wanawake wakipewa nafasi wanaweza .
'Lakini niwahakikishie tukitumia fursa yakufanya kazi wanawake wanaweza hivyo nivyema wanyakazi wanawake kwaujumla nataasisi hiyo ikikashirikiana inaweza kufika mbali''Aliongeza .
Naye Katibu mkuu wa TUCTA aliomba serilikali kuweza kusimamia makundi yote ikiwemo watu wenye ulemavu kuwapamoja.
Alisema Ushirikiano nawadau hao ninguzo muhimu katika kujiletea maendeleo nlazima wanawake kuweza kujengea uwezo.
''ili kuweza kufanikisha malengo yetu nilazima kuwepo kwa ushirikino nawadau  ''alisema

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni