Jumanne, 8 Novemba 2016

TBL YAATHIRI MAUZO DSE

Tokeo la picha la patrick mususa

Meneja Mauzo na Biashara DSE PATRICK MUSUSA

Timothy Marko

 

MABADLIKO yabei yahisa katika kaunta ya TBL yametajwa kuwa ndio chanzo pekee kilichopelekea kuongezeka kwa mauzo yahisa katika soko lahisa la Dar es salaam

Akizungumza na waandishi wa habari Meneja Mauzo na biashara Patrick Mususa amesema kuwa mauzo yahisa katika soko hilo yameweza kupanda kwawiki hii kutoka shilingi bilioni 5.3 hadi kufikia bilioni 8.3 sawa na ongezeko la asilimia 56 huku kiwango cha hisa zilizo uzwa na kununuliwa kimeongezeka mara mbili kutoka milioni 1.8kutoka shilingi 869,453 kwa wiki iliyopita .

''Wakati hayo yakitokea kampuni tatu zilizo ongoza kwa kuuza hisa zake nakunuliwa nipamoja  kampuni yaswisport (45.20%) ,Dse (39.64) huku TBL ikishika nafasi ya tatu kwa asilimia 11.49 kwa mauzo yake katika soko la hisa ''Alisema Meneja Mauzo nabiashara Patrick Mususa .

Mususa amesema kuwa wakati kampuni ya swisport ikiongoza kwa mauzo yahisa zake mtaji wasoko umeweza kupanda kwa asilimia 0.4 nakufikia shilingi Trioni 21.9 kutoka 21.8 kwawiki iliyopita wakati huo huo aliutaja ukubwa wamkampuni yandani umepanda kwa asilimia 0.3 hadi trioni8.21 kutoka trioni 8.19 kwa wiki iliyopita.

Alisema sekta yaviwanda imeonekana kuongzeka zaidikwapointi52  baada baada hisa za TBL kuongezeka kwa asilimia 1.5 huku sekta yakifedha ikiongezeka 2.6 baada bei yhisa DSE kuongezeka kwa asilimia 8.

 

''Sekta ya Huduma za Kibiashara wiki hii imeshuka kwa pointi 376 kutokana na bei ya hisa za SWISSPORT kushuka kwa asilimia 14%.''Aliongeza Mususa


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni