MKUU WAMKOA PAUL Makonda |
Timothy Marko.
Timothy
Marko
MKUU
wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amezitaka taasisi za elimu nchini kuweka
mkazo kwa wanafunzi wanaowafundisha Kuweza kujua masomo ya sanyansi ilikuweza
kukuza sekta yaviwanda nakuweza kuiwezesha Tanzania kuwa nchi ya uchumi wakati
.
Akizunguza
katika hafla yakukabidhi madawati katika shule ya Al-Mutazah jijini Dar es
salaam Makonda amesema kuwa ili nchi yoyote iweze kukua katika sekta yaviwanda
nilazima iwekeze katika masomo ya sayansi .
''ili
nchi iwe nauchumi imara lazima jitahada za kuwekeza katika masomo yasayansi uwe
madhubuti ,kwani masomo haya yasayansi hayana ugumu wowote ,ugumu wa masomo
haya unakuja pale unaposimuliwa na mtu ''Alisema Mkuu wa Mkoa Paul Makonda .
Makonda
alisema kuwa katika kutekeleza ahadi yake yakukuza uelewa kwa wanafunzi wa
masomoyasayansi ametoa ahadi yake kwamwalimu yoyote atakaweza kufaulisha somo
la sayansi atapewa shilingi milioni mbili .
KATIKA
hatua nyingine Mkuu wamkoa ameweza kupokea madawati katika shulehiyo yenye
thamani yamilioni miambili kutoka kwa mfanyabiashara maarufu azimu Dewij
ilkuweza kuondokana na tatizo la uhaba wamadawati unaozikabili shulenyingi za
mkoa wa Dar es salaam.
Mkuu
wa shule hiyo intial Haji amesema kuwa shule hiyo inaitaka serikali kuhakikisha
shule zote za jijini Dar es salaam kutokaa nchini nabadala yake serikali kuweka
juhudi za wanafunzi wamkoa huo wanapata madawati .
Haji
amesema kuwa Historia inaonesha kuwa shulehiyo imekuwa mstari wambele katika
sekta ya elimu hadi sasa shule inawanafunzi wapatao 50000 ambapo watoto waawaziri
nawatu maarufu wameweza kuhitimu katika shule hiyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni