Jumanne, 8 Novemba 2016

BENKI YA DUNIA YAISHAURI KUJENGA MIUNDO MBINU WEZESHI

Timothy Marko.

BENKI ya Dunia imesema kuwa ilikuweza kukabiliana natatizo la Majanga Mbalimbali Nchi ya Tanzania Haina budi kujenga miundombinu wezeshi nakuondokana na ujenzi holela wamakazi ya watu kwakutumia tenknolojia za kisasa .

 

Akizungumza katika Warsha yasiku mbili Afisa Mipango miji wa Taasisi hiyo nchini Deogratus Minja amesema kuwa nilazima maafisa mipango miji katika miji husika kuweza kutumia tnkinolojia katika maswala mazima ya upimaji wa maeneo .

 

''kupitia njia zakisasasa zakitekonolojia Taarifa nyingi zinaweza kuwekwa online ilikuweza kuzisaidia taasisi zakimataifa kuweza kupanga mipango yaukuwaji wa miji ''Alisema Deogratus Minja .

Minja alisema kuwa endapo tekonolojia itatumiwa vizuri na baadhi ya afisa miji nawapangaji miji kutaweza kudhibiti tatizo la mafuriko yanayo ikabili Tanzania hasa katika kipindi cha masika .

 

Mwenyekiti wa zuia Maafa Hamimu Issa amezitaja njia mbalimbali zakuondokana namafuriko nipamoja kuwepo kwa ramani huria ,huku amekosoa serikali Katika upimaji waramani haujawa shirikishi .

Alisema kumekuwa naushirikishwaji mdogo katika kazi yamtaa pindi yanapotokea mafuriko sehemu yoyete ,aidha kumekuwa natabia ya baadhi ya watendaji waserikali kutolifumbia macho sula lautirishaji amaji nakusababishia mafuriko.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni