Timothy Marko.
SOKO la hisa la Dar es salaam (DSE)limesemakuwa kushuka nakupanda kwa mauzo sokoni hapo kunachangiwa na ukubwa wamtaji wamakapuni huku ikisisitiza kuwa hali yakukua kwa makapuni yamawasiliano nchini umekuwa nikiashiria pekee cha ukuwaji wauchumi.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Meneja biashara na Mauzo wasoko hilo ,Patrick Mususa amsemakuwa katika kipindi cha wiki iliyopita mauzo yamepanda kutoka shilingi bilioni 1.7 ikilinganishwa nabilioni 16.2 yawiki hii .
''Idadi ya hisa zilizouzwa nakunuliwa imepanda zaidi mara14 hadi milioni4.8 kutoka 347,147 wiki kabla ambapo makampuni matatu ya CRDB (72.61%) ,TBL 24.3%1 DSE 2.05%ndio yaliongoza katika kunuliwa nakuzwa Katika soko letu''Alisema Meneja Bishara na Mauzo DSE partrick Mususa .
Meneja Biashara na Mauzo Mususa alisemakuwa wakati takwimu hizo zikionesha kuongezeka kwamauzo sekta ya viwanda kwa wiki hii imepungua kwa pointi 13 baada bei yahisa kushuka kwa asilimi 0.39 asilimia .
alisema sekta yahuduma za zakibenki imeshuka kwa wiki hii hadi kufikia pointi 34.89 hali iliyochangiwa nakushuka kwabei katikakaunta ya DSE 3.47 na CRDB 3.45 asilimia .
''wakati sekta yahuduma za kibiashara imebakia kiwango kilekile cha wiki liliyopita ya 3,538.83''
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni