MKOA WA MOROGORO |
KITUO cha uwekezaji nchini (TIC)kwa kushirikiana uongozi wa mkoa wa Morogoro kinatarajia kufanyanya kongamano maalum lakuhamasisha na kukuza uwekezaji na biashara katika Mkoa huo .
Akizungumza nawaandishi wa habari mapema hii leo Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wakituo hicho Clifford Tandari amesema kuwa kongamano hilo linatarajiwa kufanyika september 29 na 30 katika hoteli Glonency iliyopo katika mkoa wa morogoro .
''Kongamano hili linalenga kukuza sekta mbambli zaviwanda ,kilimo nausindikaji wa mazao ,nishati elimu na maji pamoja na ujenzi wa majengo nasekta nyinginezo ikiwemo chakula dawa na utafiti ,usafirishaji, fedha na biashara linatarajiwwa kuhudhuliwa na waziri Waviwanda nabiashara Charles Mwijage ''Alisema Mkurugenzi wa TIC Clifford Tandari .
Mkurugenzi Tandari alisema kongamano hilo litaisaidia kuuweka mkoa wa Morogoro kuwa mkoa wenye fursa mbalimbali ikiwemo kilimo nabiashara kwa makampuni yanje nandani kuja kuwekeza katikasekta hizo .
Alisema jumla yamiradi 198 imekuwaikitelezwa katikamkoa huo ambapo miradi hiyo inatarajia kuzalisha ajira 28,944 ambapo miradi111 niyawatanzania huku miradi 46 ni yawageni kutoka nje .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni