Timothy Marko.
Naibu Waziri wa ujenzi Mawasiliano na uchukuzi Mhandisi Edwine Ngonyani amelitaka Gazeti la Mseto kulipa faini yashilingi bilioni moja baada ya gazeti hilo kumhusisha na upokeaji wafedha za kufanyia kampeni katika jimbolake la Namtumbo kinyume nansheria .
Akizungumza na Waandishi wa habari Mapema hii leo jijini Dar es salaam Waziri Ngonyani alibainisha kuwa katikasiku za hivi karibuni gazeti hilo lilimkariri wazirihuyo kuwa amepokea fedha za ubunge kutoka kwa Rais wa awamu ya tano ilikuweza kumsaidia iliashinde ubunge jambo hilo alilikanusha vikali .
''Kuhusu Madai haya ya gazeti hili yakumuomba mweshimiwa Rais anisaidie shilingi bilioni moja ilinishinde ubunge jambo hili si lakweli bali limekuwa nilakutungwa na gazeti ''Alisema Mhandisi Ngonyani .
Waziri Ngonyani alisema kuwa katika vielelezo vyabarua vilivyotumiwa kama ni habari ikiwemo barua vilionesha utofauti mkubwa ikiwemo tarehe ya kuomba fedha hizo na sahini yake nacheo kilichokuwa kimeandikwa katika barua hiyo.
Alisema kuwa kufuatia utofauti wanyaraka navielezo vilivyotumiwa na wandishi wagazeti hilo anatarajia kufikisha mahakamani ilikuweza kujibu madai hayo baada yasiku saba ilkuweza kukanusha madai hayo .
''uchafuzi huu si wangu bali umeweza kuathiri familia niliyonayo na wapiga kura wangu wajimbo lanamtumbo walioshirika wangu katika uchaguzi wanajua mimi sikutumia fedha hizo '' Aliongeza Ngonyani .
Naibu WAZIRI ngonyani aliongeza kuwa fedha za fidia za shilingi bilioni moja zitakwenda kupunguza mshituko wamadai waliyoyapata kati yake nafamilia yake.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni