![]() |
MWANASHERIA WA CHAMA CHA WANAWAKE NCHINI TAWULA PINDI CHANA |
Timothy Marko.
MWANASHERIA wa chama
cha wananawake nchini(TAWLA)Dkt. Pindi Chana ameitaka serikali kujenga
mazingira mazuri ya kumiliki ardhi kwa wanawake ilikuweza kuchochea ukuwaji
wasekta ya kilimo nchini nakuondokana nauhaba wa chakula unaikabili sehemu
mbalimbali nchini .
Akizungumza katika mkutano wa taasisi hiyo unaojadili
umuhimu wa kumuwezesha mwanamke kiuchumi gender Equlity women Empowerment (Gewe
)Pindi Chana amesema kuwa ilikumoundoa mwanamke katika janga la umasikini
nilazima jitahada zakumkwamua kiuchumi na kijamii zifanyike ikiwemo kuondoa
mila kandamizi zinazo muathiri mwanamke kiuchumi ikiwemo umiliki wa ardhi .
‘’Ili kumuwezesha mwanamke kiuchumi nilazima zitungwe sera
zitakazo muwezesha mwanamke kuweza kumiliki ardhi hali ambayo itamsaidia kuweza
kulisha familia nakuondokana naumasikini ,pia kuondokana na uhaba wachakula na
bala la njaa linalo ilikabili sehemu mbalimbali nchini ‘’Alisema Dk.Pindi Chana
Dk.Chana alisemakuwa ilikuondoakana natatizo lanjaa
linaloikabili maeneo mengi nchini nilazima serikali iweke bajeti yakutosha
katika sekta yakilimo ili kuwezesha upatikanaji wa zana mbalimbali za kilimo na
pembejeo za kilimo .
Alisema kuwa ilikuweza kuondokana na umasikini juhudi
mbambali zinatakiwa kufanyika ikiwemo kutunga sera zitakazo weshesha sekta
binafsi na uuma kuweza kushirikiana katika ngazi za vijiji kata na mkoa
nakuziwezesha asasi mbalimbali kuweza kutatua changamoto mbalimbali
zinazoikabili sekta ya kilimo
.
‘’Katika kumuwezesha mwanamke kiuchumi nilazima jamii nzima
iweze kupewa elimu ikiwemo wanaume juu ya umuhimu wa wanawake kuweza kumiliki
ardhi nakuachana mila potofu za kutomuwezesha mwanamke kutomiliki ardhi ‘’Aliongeza
Dk.pindi chana .
Katika hatua nyingine Muwakililishi wa asasi yakiraia
inayojishughulisha na masuala kilimo
nchini yaWomen Agriculture Association (TAWLAE)Mary Liwa amesema Tanzania imekuwa
mdau muhimu katika mikataba yakimataifa inayo muwezesha mwanamke ikiwemo
kuondokana njaa nakukuza sekta yakilimo kwa mwanamke .
Liwa amesema kuwa changamoto kubwa katikamkumuwezesha
mwanamke nichakula ambapo aliitaja kipindi cha ujauzito ndicho kipindi kigumu
ambacho mwanamke anahitaji chakula kwa wingi kuliko muda wote hivyo nilazima
mazingira yakilimo na chakula yanahitajika kuboreshwa
.
‘’Tamaduni zimekuwa zikimkandamiza hasa mwanamke ambapo
tunaona katika bajeti iliyopo niasilimia 10 tu ya kilimo ambayo mwanamke bado
haja shirikishwa na imekuwa nikazi ngumu bajeti hiyo kumfikia mkulima wa hali
yachini aliyopo kijijini ‘’Alisema LIWA.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni