![]() |
KAMISHINA WA POLISI KANDA YA DSM SIMON SIRRO |
JESHI la polisi Kanda Maalum jijini Dar es salaam limeatadharisha Wanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo nchini (Chadema )kutoendelea na mipango yao yakufanya maandamano yakupinga wakile anachokiita udikiteta(UKUTA)september mosi mwakahuu.
Akizungumza na waandishi wa habari mapema hiileo ,jijini Dar es salaam Kamishina wa polisi kanda hiyo Simon Sirro amesema kuwa maadamano hayo hayapo kwamujibu washeria za nchi nakuwa kitendo cha kuhamasisha wanachama kufanya maandamano hayo kwakuchapisha t-shirt zinazo hamasisha kufanya mandamano nikinyume nasheria za nchi.
''June 20 mwaka huu tumezikamata sare zinazohamasisha kufanya maandamano zikiwa zarangimbalimbali nazenye ujumbe tofauti kwa mtuhumiwa anajulikana kama jorum zikiwa na maneno tujipange naudikteta uchwara ''Alisema Kamishina SIMON sirro.
Kamishina SIRRO amesema kuwa jeshi hilo limejipanga kuzuia vitendo vyote vitakavyo ashiria uvunjifu wa amani hususan wakaazi wajiji la Dar es salam nakuwataka wananchi kutokua nawasiwasi nakuwatadharisha wanasiasa hao kutowahamasisha wananchi kufanyamaandamano hayo.
Alisema anayetaka kufanya maandamano nivyema kujitanguliza yeye nasio kutoa hamasa kwa wananchi wengine nakusitiza kutokana naoperesheni ya jeshi hilo maandamano hayo hayapo nakuwa dhana yaukuta imeshaondoka.
''Huu ukuta umesha bomoka kama wanataka waujenge ukuta mwingine habari yaukuta haupo hivyonawataka wanadar es salaam kufanya kazi zenu '' Aliongeza sirro.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni