Jumatatu, 22 Agosti 2016

DSE:WATANZANIA WENGI AMEKUWA NAMWAMKO WAMASOKO YAMITAJI

Tokeo la picha la marry kinabo
AFISA MWANDAMIZI DSE MARY KINABO
Timothy Marko.
Afisa wamwandamizi wasoko la hisa jijini Dar es salaam (DSE)Mary kinabo amesemakuwa kupandakwa mauzo yahisa katika soko hilo kumechangiwa na watanzania wengi kuwa namwamuko mkubwa katika kujenga uchumi .

Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam  afisa mwandamizi wa soko lahisa Mary kinabo amesema kuwa idadi yamauzo imepanda kwa asilimia 57nakufikia bilioni 3.3 kutoka bilioni2.1 hali iliyochangiwa nawawekezaji kununua kwawingi hisa zinzouzwa na soko hilo.

''idadi yahisa zilizouzwa na kununuliwa zimepanda kwa asilimia 34hadi milioni 2.2 kutoka milioni1.6 wakati makampuni yanayo ongoza nipamoja na CRDB Kwaasilimia49 ikifuatiwa DSE 43 wakati kampuni ya TBLilinunuliwa nnakuuzwa kwasilia 4''Alisema AFISA mwandamizi Mary KINABO .

KINABO alisema kuwa wakati takwimu hizo zikiunesha kupanda kwamauzo kwasilimia 57 ukubwa wamtaji umepanda kwasilimia 0.67 hadi kufikia trioni 23.4 kutka trioni23.2
Alisema sambamba na takwimu hizo ukubwa wamtaji umeweza kufikia trioni 8.4 wakati sekta ya viwanda ikishuka kwa 19.47 kutkana hisa za tbl kushuka  .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni