Waziri wa katiba na Sheria nchini Dk.Harrison Mwakyembe |
Timothy Marko.
SERIKALI imesema itaendelea kuzikagua bodi za udhamini zilizochini ya taasisi ya wakala wa ufilisi na udhamini (RITA)ilikuzibaini taasisi hewa na zile zilizosajiliwa Kisheria na bodi hiyo.
Akizungumza na waandishi wa Habari katika kikiao hicho kilichofanyika jijini Dar es salaam Waziri wa katiba na Sheria nchini Dk.Harrison Mwakyembe amesema kuwa ukaguzi huo wa bodi yaudhamini unalenga kuzitambua taasisi zinazotambulika na Rita .
''Tunataka tubakie na asasi za kiraia zilizo sajiliwa ambazo zinatambulika kisheria ambapo ninimelezwa kuwa kunataasisi ambazo ahazikufuata utaratibu wa usajili hivyo basi ninazitaka asasisi za kiraia zilizosajiliwa na zinazo tambulika tu ''Alisema Waziri wa Katiba na sheria Dk.Harrison Mwakyembe .
KATIKA hatua nyingine Msajili wa asasi zakiraia nakidini katika wakala wa ufilisi na udhamini (RITA) Mery Komba amsema kuwa katika taarifa bodi yawadhamini takribani bodi za wadhamini 1944 kati ya 5262zilizowasilisha tarifa zao kwa njia ya barua pepe na zingine kwakuwasili ofisini .
Alisema kuwa katika majalada yaliyo chambuliwa 5262 kati ya majalada 4287 yalichambuliwa nakuwekwa kwenye kanzi data ambapo bodi za wadhamini mini 500 zilikuwa mfu .
''KATIKA tangazo liliotolewa mei 17 mwaka huu kwenye gazeti la serikali la daily NEWS na mwananchi kwa muda wasiku 30 jumla 200 kati taasisihizo ni20 tu ndizo ziliweza kutekeleza agizo huku taasisi 180 zilibainika kutekeleza wajibu wake ''Alisema Mery Komba .
Gega Nancy
Alisema pamoja nahatua hiyo pia taasisi hiyo imeandaa mpango mkakati wakuzifutia taasisi 320 agizo hilo linatarajiwa kutekelezwa mwishoni mwamwezi agost mwaka huu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni