Ijumaa, 8 Julai 2016

TAKWIMU :MFUMUKO WABEI UMEPANDA KWA ASILIMIA 5.8

Timothy Marko.
Hali yamfumuko wabei nchini umeongezeka kwa asilimia 5.8 ikilinganishwa na mfumuko wabei wanchi za ukanda wa afrika mashariki 5.9 katika nchi yauganda kwakipindi chamwezi mei.

Akizungumza nawaandishi wa habari mapema hii leo,Mkurugenzi wa sensa ya watu natakwimu Epharaim Kwesigabo amesemakuwa wakati mfumuko wa bei ukifikia 5.8 hali ya bei zabidhaa na huduma kwa kipindi kilichoishia juni mwaka huu kimeongezeka ikilinganishwa na mwezi mei.

''Fahirisi za bei zimeongezeka hadi kufikia 103.47 kwa kipindi cha mwezi juni kutoka 98.10 juni mwaka jana wakati huo huo mfumuko wabei za bidhaa za vyakula navinywaji baridi katika kipindi chamwezi juni umeongezeka hadi kufikia 8.1 ikilinganishwa na 7.0 kwakipindi cha mwezi mei mwaka huu''.Alisema Epharaim Kwesigabo .

Kwesigabo alisema kuwa mfumuko wa bei umechangiwa nakuongezeka kwa bei za baadhi za vyakula kwakipindi kilichoishia mwezijuni ambapo bidhaa zilizoonsha kupanda bei nipamoja unga wamuhogo 30.5 nyama yango'mbe kwa asilimia 14.3 samaki wabichi asilimia 8.8 kwa  viazi vya mviringo  16.6  wakatimihogo 50.7 viazi 17.5

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni