Jumatatu, 11 Julai 2016

MAUZO YAHISA YAPANDA KWA SHILINGI BILIONI 11



Timothy Marko 
 SEKTA yaviwanda imeshuka katika soko la hisa la Dar es salaam baada ya mauzo ya hisa kupanda kwa asilimia kutoka shilingi bilioni 6.6 wiki iliyopita na kufikia shilingi bilioni 11.6 kwa wiki hii.
Hayo yamebainishwa leo na Afisa Mauzo  Mwandamizi wa soko hilo Mary kinabo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam juu mwenendo wamauzo yahisa yaliyofanyika kupitia soko hilo .

Afisa Mwandamizi Marykinabo amesema kuwa hali hiyo yakushuka kwa sekta yaviwanda baada yakiwango chahisa katika kaunta yaTPCC Kushuka kwa asilimia 2.95ikilinganishwa na benki ya kibiashara ya CRDB ambapo hisa zake zilinunuliwa kwasilimia49.

''wakati huo huo  Ukubwa wamtaji wa soko umepanda kwa asilimia 7.76 nakufikia trioni 23.3huku ukubwa wamtaji wamakapuni yandani ukibakia shilingitrioni 7.9  baada yasekta yahuduma za kibenki kupandakwa asilimia 25.71 baada hisa kwenye kaunta ya NMB Kupanda kwasilimia2.42''Alisema Marry kinabo .


Kinabo alisema kuwa sekta yahuduma yakibiashara imeshuka kwaasilimia 29.30 baada yakushuka katka kaunta ya swispot1.1 .



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni