Timothy Marko
SERIKALI imesema kuwa imeshapokea mswada washeria nakuweza kupeleka bungeni kwa watakao bainika wanawapa ujauzito wanafunzi waliopo mashuleni ili kuweza kutatua tatizo lamimba utotoni .
Akizungumza nakatika maadhimisho yakilele ya siku idadi yawatu yaumoja wa mataifa Waziri wa afya maendeleo yajamii jinsia wazee pamoja watoto Ummy Mwalimu amesema kuwa serikali itaendelea kupigavita ndoa za utotoni kwa kwa kuzipangia kesi zinzohusiana na ujauzito kwa majaji namahakimu maluum ilkuweza kukomesha vitendo hivyo .
''Kesi hizi za mimba utotoni zitakuwa na majaji maalum ambapo sheria inatawalinda watoto waliopo kati ya umri ya9 -hadi 21 ,hatahivyo tunataka tutoke miaka 14 hadi 18 ndipo tufikie miaka 21 kama kweli tunataka tuwekeze kwenye elimu hasa kwa watoto wakike ''Alisema waziri Ummy
Waziri wa afya Ummy alisema kuwa sambamba nakutoa zuio hilo la watoto kuolewa katika umri mdogo pia serikali inatarajia kuwekeza nguvu kubwa katika kutoa elimu ya afya ya uzazi kwa wasichana hao.
Alisema utamaduni wakumficha mtoto kuhusu mabadiliko yamwili wake umepitwa nawakati kwani uchunguzi umeonesha watoto wengi ni wadadisi wamambo .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni