WAZIRI WAFEDHA NAUCHUMI DK.FILIPH MPANGO |
Timothy Marko.
SERIKALI imewataka wananchi kujenga utamaduni wa kushiriki katika shughuli za kiuchumi nakuwekeza kwa kununua hisa zinazouzwa na soko lahisa la Dar es salaam (DSE) Ili kuondokana naumasikini wa kipato.
Akizungumza na waandishi wahabari mapema hii leo jijini Dar es salaam Waziri wa fedha nauchumi Dk.philip Mpango amesema kuwa ilkuhakikisha nchi ya Tanzania inafikia uchumi wakati nilazima washiriki katikashughuli za uzalishaji mali na kuwekeza mitaji yao kwakununua hisa zinazo uzwa na soko lahisa la Dar es salaam.
''Katika nchi yoyote wananchi iliwaweze kukua kiuchumi nilazima wananchi washiriki katika shughuli za kiuchumi namoja yanjia yakukua kiuchumi kwa wananchi nilazima kujengamazoea ya ununuzi wa hisa ''.Alisema WAZIRI wa fedha Philiph Mpango.
WAZIRI wa fedha Mpango alisema kuwa ushiriki wa wananchi katikaununuzi wa hisa kutawezesha wananchi kuwa wamiliki wa makampuni mbalimbali nchini hali itakayowawezesha nakuondokana naumasikini wakipato .
Alisema kuwa Watanzania nilazima kuchukua fursa ya kuwekeza katika masoko yamitaji kwamakapuni yaliyo binafusishwa kwa kununua hisa katika makampuni hayo ili kuweza kushiriki katika uchumi .
''Nilazima wananchi watanzania tuweze kulitumia zaidi soko hili la hisa kwajili yaununuzi wahisa katika makampuni ili kujiletea maendeleo zaidi ilikuweza kuboresha mitaji yenu''Aliongeza Waziri MPANGO.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni