MWANDAJI WA MASHINDANO YA KIBENKI LEO NYADUGA. |
Timothy
Marko.
Zaidi ya
Mabenki 30 hapa nchini yanatarajia
kushiriki katika maonyesho ya Kifedha yatayo shirikisha sekta binafsi na Taasisi za
Serikali.
Akizungumza
na waandishi wa habari mapema hii leojijini mwandaji wa maonesho hayo yakibenki Leo
Nyanduga amesemakuwa katika maonesho hayo yanayotarajiwa kufanyika julai 27-29
mlimani city yanalenga kutoa kuwajulisha wananchi mbalimbali juu ya huduma
zitolewazo na mabenki yakibiashara ikiwemo utoaji wa mikopo kwa wajasiliamali
wadogo wadogo nawale wa kati .
‘’Katika
maonesho hayo tunatarajia mgeni rasmi atakuwa naibu waziri wafedha na uchumi
Ashatu Kijaji pamoja na mkurugenzi wamifumo ya kibenki kutoka benki kuu ‘’Alisema
Leo Nyanduga .
Mwandaaji wa
mashindano Nyanduga alisema kuwa katika maonesho hayo yanalenga kukuza uelewa
wananchi juu ya taasisi za kifedha ilikuweza kujieletea maendeleo yakiuchumi .
Alisema
mwananchi atakayeshiri maonesho hayo ya mabenki hana budi kuwasiliana kupitia
barua pepe ya info @bankers.expo.co.tz
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni