PATRICK MUSUSA MENEJA BIASHARA NAMAUZO DSE |
Timothy
Marko.
SOKO la Hisa la Dar es salaam(DSE) kukusanyazaidi yashingi bilioni 12 s zilizotokana na mauzo ya hisa baada yakukuza mtaji.
Akizungumza
na waandishi wa habari mapema hii leo jijini Dar es salam Meneja Biashara na Mauzo wa soko hilo Patrick
Mususa amesema kuwa ongezeko hilo limetokana na matokeo ya mauzo ya awali ya
tarehe 16juni mwaka huu yakuongeza mtaji wake kutoka shilingibilioni 8.5 hadi
kufikia shilingi bilion12 fedha ambazo zimetokana ongezeko la thamani ya
hisa zinazo uzwa katika soko hilo .
‘’Ukusanywaji
wa zaidi shilingi bilioni 10 umetokana na waombaji wahisa wathamani tofauti
tofauti ukimwemo waombaji wa hisa za tahamani ya shilingi milioni 5 ambao
wamenunua hisa 10,000wataweza kupata his azote’’Alisema Meneja Mauzo na
Biashara Patrick Mususa .
Mususa
alisema kuwa uombaji wa hisa hizo utaendana sawa nagawio kulingana naukubwa
wamaombi nakuweza kurudishiwa fedha zao ambapo wafanyakazi wa taasisi hiyo
watapata gawio la asilimia tatu ya hisa zilizouzwa .
Alisema baada
yazoezi hilo la ugawaji wahisa hizo ,utaratibu wa hundi wa za malipo yapesa za
ziada za maombi ya hisa utakamilika julai 7 mwaka huu wakati huo usajili wa
akaunti CSD utakamilika julai 11mwaka huu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni