Jumatatu, 27 Juni 2016

DSE:HATUA YAKUJITOA KWA UINGEREZA KUJITOA KATIKA JUMHIYA ULAYA KUTAPUNGUZA IDADI YA WATALII

Moremi Marwa
MKURUGENZI MTENDAJI WA SOKO LAHISA DSE MOREMI MARWA


Timothy Marko.



SOKO la hisa la Dar es salaam limesema kuwa hatua ya uingereza kujitoa katika Jumuhia ya ulaya itapunguza idadi yawatalii katika nchi ya Tanzania ambao wananatoka  katika nchi hiyo .

 




Akizungumza katika kongamano la wanahabari lilifanyika jijini Dar es salaam Mkurugenzi wa  Soko hilo lahisa Moremi Marwa amesema hatua ya nchi ya uingereza kuweza kujitoa katikajumuhia ya ulaya kutaathiri masoko mengine yahisa barani Afrika ikiwemo soko lahisa la Afrika kusini kwani wawekezaji wengi katika soko hilo lahisa wanatoka uingereza nan chi zilizopo katika jumuhia hiyo

.




‘’Uondokaji wa uingereza kujitoa katika soko la jumuhia ya ulaya wawekezaji wengi wanahisi utakuwa na athari katika uchumi lakini kwa nchi za zetu zakuanda wa kusini mwa afrika kutakuwa naupungufu wa wawekezaji kutokana makampuni mengi yauingereza kujitoa kutokana na halimbaya yakiuchumi ‘’Alisema Mkurugenzi Moremi Marwa 

.




Marwa amesema kuwa Athari yauchumi itaweza kujitokeza katika makampuni ya Afrika kusini kiuchumi hii nikutokana nan chi hiyo kujiunga na masoko yahisa yauingereza na marekani .

 




Amesema kuwa hatahiyo pamoja nakujitoa huko athari yakiuchumi kwanchi kama Tanzania haitoonekana sana kwani itasababisha paundi ya uingereza kuweza kushuka thamani nakuweza kuinufaisha Tanzania kiuchumi .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni