Alhamisi, 19 Mei 2016

SERIKALI YAZITAKA TAASISI ZA UMMA KUWEKA BENDERA YA AFRIKA MASHARIKI ,BENDERA YATAIFA KUKUZA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI





Timothy Marko.
SERIKALI kupitia wizara yamambo yanje na ushirikiano wa afrika Mashariki imezitaka taasisi za serikali kutumia alama za Jumuhia ya afrika Mashariki ikiwemo bendera ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania pamoja nabendera yajumuhia afrika mashariki .

Akizungumza na waandishi wa habari mapema hii leo jijini Dar es salaam Msemaji wakitengo cha Mawasiliano ya Serikali Wizara  ya Mambo yanje ,Ushirikiano wa Kikanda na kimataifa Mindi Kasiga amesema kuwa Sambamba na bendera ya Tanzania naile ya jumuhia ya afrika Mashariki kutumiwa katika taasisi za umma pia wakati wawimbo wajumuhia hiyo unatakiwa kuimbwa wakati wa shughuli za kiserikali .

‘’Hatua hii niutekelezaji wa mkataba wauuanzishwaji wajumuhia ya afrika Mashariki ambao katika kifungu cha 7(a)umesisitiza jumuhia hii kuwa jumuhia ya watu hivyo wananchi wa Tanzania watahusishwa katika hatua zote Mtangamano ‘’Alisema msemaji wa wizara yamambo yanje Mindi Kasiga .

Kasiga alisema kuwa Rais wa jamuhuri yamuungano wa Tanzania Dk John Magufuli ambaye hivi karibuni alichaguliwa kuwa mwenyekiti wajumuhia hiyo alisema kuwa Tanzania itahakikisha wananchi wake wanashirikishwa katika hatua mbalimbali za jumuhia hiyo ilkuweza manufaa nafusa mbalimbali zilizopo katika jumuhia hiyo .

Alisema kuwa kufuatia nchi ya Tanzania kuwa nimsuluhishi wamgogogoro wanchi ya Burundi muda mrefu serikali ya Tanzania imemteua Rais wa awamu yatatu Rais Benjamini William Mkapa kuwa mwenyekiti wamazungumzo wa mgogoro waburundi ambapo  kikao cha usuluishi ikinatarajiwa kuanza mei21hadi 24 mwaka huu huko AICC Arusha .


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni