KAMISHINA KANDA MAALUM SIMONI SIRRO |
Timothy
Marko .
JESHI la
polisi kanda Maalum jijini Dar es salaam linamshikilia Weneslaus Mtui
(46)mkaazi wa Makongo juu kwa tuhuma za kuuza madini Bandia .
Akizungumza
na waandishi wa Habari mapema hii leo jijini Dar es salaam Kamishina wa polisi
jijini Dar es salaam Simon Sirro amesema tukio hilo liltokea March14 mwaka huu
majira ya saa 12:45 katika kituo cha polisi
Ostabey .
‘’Mtuhumiwa
huyo alikamatwa ambayejina lake tunalihifadhi baada yakushawishika kununua
Madini aina ya gold kg20 yenye thamani ya Dolla za kimarekani 40,000 sawa fedha
za kitanzania milioni 90 kwa kampuni CROWN LOGISTCS AND HANDLING ya Dar es salaam kwa ajili
yakuuza nchini Italia’’Alisema Kamishina Sirro .
Kamishina
Simoni Sirro alisema kuwa mlalamikaji huyo alilipa fedha hizo katika benki ya
CRDB nakisha kukabidhiwa vipande vitatu vinavyosadikiwa kuwa nimadini vikiwa
nakilogramu 212 nakugundulika vipandehivyo si halisi .
Alisema
Baada ya jeshi hilo kufanya upekuzi kwamfanyabishara huyo ambaye aliuza vipande
vya madini visivyo halisia lilibaini kuwa mtughumiwa huyo alikuwa na vitu
vinavyosadikiwa kuwa nimaadini ,mashine zakupimia madini vifaa vyakubania
,mashine yakupimia madini pamoja naslip mbalimbali za benki.
Katika hatua
nyingine jeshi hilo may 13 mwaka huu limefanikiwa
kukamata silaha aina yabastola yenye namba zausajili A.O8416zikiwa narisasitatu
huko mbezi mwisho .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni