MKAGUZI wa mahesabu yaserikali Profesa MUSSA ASSAD |
Timothy Marko.
OFISI ya
Mkaguzi Mkuu wa Mahesabu ya Serikali
(CAG) inakabiliwa na uhaba wawatalamu hali inayochangiwa watalamu wengi kushindwa
kutimiza majukumu yake kikamilifu .
Akizungumza
na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Mkaguzi mkuu wa mahesabu yaserikali
Mhandisi Mussa Assad amesema kuwaTanzania
inauhitaji wa watumishi 129 wenye fani hiyo ilkuweza kukidhi ya upungufu
watumishi 150 waliopo hivisasa katikafani hiyo.
‘’Mahitaji
yarasmali watu yameongezeka kutoka idadi ya idadi iliyopo ya watumishi 81 hadi
kufikia watumishi 150 hivyo bodi yetu inahitaji watumishi29 wenye fani ya
ukaguzi ilikuweza kazi za bodi kwaufanisi ‘’Alisema Mkaguzi mkuu Mhandisi Mussa
Assadi .
Mkaguzi mkuu
Mussa Assadi alisema kuwa uhaba wa watalamu wa fani hiyo umetokana na uhitaji
wawatalamu katika mikoa ikiwemo mikoa mingi nawilaya nyingi zilizo anzishwa
hazinawatalamu wafanihiyo wakutosha .
Alisema kuwa
hadikufiki mwakahuu Tanzania inajumla ya halimashauri173 ikilinganishwa
nahalimashauri 172 za hapo awali ampapo kila ahalimashauri inatakiwa kuwa
natimu nne kwakila mkoa kila halimashauri inatakiwa kuwa na watalamu watano ili
kazi yaukaguzi itendeke kwa ufanisi .
‘’Hadi
hivisasa ofisi yetu inamkakati wakujenga ofisi katika kilamkoa ikiwemo Rukwa
Mara na Iringa ,kutokana gharama za ukodishwaji jengo kuwa kubwa taasisi yetu
hatutaongeza mkataba ifikapo 30 desemba mwaka huu’’aliongeza MKaguzi mkuu
wamahesabu yaserikali Mussa Assadi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni