RAIS wa jamuhuri ya MUNGANO Wa TANZANIA DK. JOHN MAGUFULI |
Timothy
Marko .
WAKATI Rais
wajamuhuri ya muungano wa Tanzania Dk.Jonh MAGUFULI akitoa ahadi yake yakukuza
sekta ya viwanda nchini ilikuwaletea wananchi maendeleo kutokana na sekta hiyo
,wizara yaviwanda inatarajiwa kuzindua
ripoti ya Sekta yaviwanda na hali yakiushindani katikasekta hiyo katika soko la
dunia .
Akizungumza
na waandishi wa habari Mchumi wa wizara
ya viwanda na biashara Valence Mutakyamila amesema kuwa ripoti hiyo
inayotarajiwa kuzinduliwa kesho inatarajia kugusa maeneo sita ambayo
yatawezesha Tanzania Kuweza kujitathimini katika sekta hiyo.
‘’Ripoti hii
inatakayozinduliwa kesho inatarajiwa kugusa maeneo sita ambayo ni hali
yaviwanda vyetu katika Nyanja ya ajira ,sekta nyinginezo zinazochangia sekta
yaviwanda kiuchumi ‘’Alisema Mchumi Valence Mutakyamila .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni