MENEJA MAUZO NA BIASHARA PATRICK MUSUSA . |
Timothy
Marko .
SOKO la hisa
la Dar es salaam (DSE)limesema kuwa kumekuwa nahali yakushuka kwa kiwango cha
ununuzi wa hisa katika soko hilo kutokana na wanahisa wasoko hilo kuhifadhi
hisa zao ikuweza kupata faida pindi idadi yahisa kushuka kwathamani ya hisa
zilizopo katika soko hilo.
Akizungumza
na waandishi wa habari mapema hii leo jijini Dar es salaam Meneja Biashara na
Mauzo Patrick Mmususa amesema kuwa Takwimu zinaonesha kuwa katika wiki hii
idadi ya mauzo katika wiki hii imeshukakwa asilimia 60 kutoka shilingi bilioni
6.6 wiki iliyopita ikilinganishwa na shilingi bilioni 1.7 katika kipindi cha
wikihii.
‘’Hali ya
mauzo yahisa katika soko letu imeshuka hii nikutokana nawawekezaji wengi
kununua hisa nyingi katika soko letu nakuzihifadhi wakingojea pindi hisa
zitakapo ongezeka thamani ndio maana kumekuwa nakiwango kidogo cha mauzo yahisa
‘’Alisema Meneja Mauzo na Biashara Patrick MUSUSA.
Meneja
Mususa alisema kuwa makapuni yanayo
ongoza kununuliwa hisa zake katika soko hilo nipamoja na CRDB 81.23% ,TCC %. 5.71% TBL %.5.12 Wakati ukubwa wa mtaji wa
makampuni yandani umeongezeka kwa
asilimia 1.65% hadi shilingi Trioni 22.4 kutoka trioni 22.05
Alisema kuwa
ukubwa wamtaji wa makampuni yandani umeshuka kwa asilimia 1% hadi trioni 8.5
kutoka trioni 8.39 wakati huo huo alibainisha kuwa sekta ya viwanda imepanda
kwa asilimia 52.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni