Ijumaa, 29 Aprili 2016

TANZANIA NA UGANDA YAINGIA MAKUBALIANO UJENZI WABOMBA LAGESI .

Tokeo la picha la BENDERA  YAUGANDA
BENDERA YATANZANIA .
BENDERA YAUGANDA.



Timothy Marko.
SERIKALI ya Tanzania imeingia makubaliano na serikali ya Uganda katika ujenzi wa bomba lakusafirisha gesi kutoka bandari ya Tanga hadi nchini Uganda .

Ujenzi  huo unaogharimu  Dola bilioni 3.57 unafuatiwa makubaliano ya nchi hizo mbili katika mkutano uliofanyika hivi karibuni nchini Uganda kati ya Rais wajamuhuri ya muungano wa TANZANIA Dk.Jonh POMBE MAGUFULI na Rais YOWERI MSEVENI wa Uganda .

Akizungumza nawandishi wa habari katika mkutano wawatalaam  waujenzi wa bomba hilo jijini Dar es salaam Waziri wanishati namadini Profesa Sospeter Muhongo amesema kuwa  makubaliano hayo yanajumuhisha ujenzi wa mabomba ya kusafirisha gesi .

‘’Ujenzi huu wa mabomba utawezesha kusafirisha gesi pamoja na mafuta kati yanchi hizi mbili za Uganda na Tanzania ujenzi huu utahusisha makampuni binafsi yatakayoingia ubia katika kusafirisha gesi na mafuta’’Alisema waziri  Mhongo.
Waziri MUHONGO alisema kuwa ujenzi huo wabomba hilo lakusafirisha gesi kwenda Uganda unatarajiwa kukamilika 2020.

Waziri wa maendeleo yamadini nanishati nchini Uganda Irene Murumi amesema kuwa nchi yake itashirikiana nabandari yatanga ililiyopo Tanzania kupeleka gesi na mafuta nchini Uganda .

Waziri MURUMI alisema kuwa ujenzi wabomba lamafutanagesi linatarajia kugharimu DOLA shilingi 3.5 hadi hivisasa wapo katika hatua yawali ya kufanyamaboresho yamapitio yamradi huo .

‘’Ujenzi huu wa bomba lagesi kutoka TANZANIA kwenda UGANDA utawashirikisha nchi wahisani nakikao hiki nicha kwanza baina yanchi hizi mbili ninapenda kushukuru serikali ya Tanzania kuweza kushirikiana kati yanchi hizi mbili ‘’Alisema waziri Murumi .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni