Timothy
Marko
JESHI la
Polisi Nchini linamshikilia mkazi wa Magomeni Iddi Kaunga (49) kwa Hutuhuma za usafirishaji wa Dawa za
kulevya
Baada ya
kupata taarifa kutoka kwa raia wema huko magomeni.
Akizungumza
na waandishi wa Habari leo Jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Kitengo cha kudhibiti
madawa ya kulevya nchini ACP. Mihayo
Msikhela Amesema kuwa Mei 17 wamefanikiwa kumkamata mtuhumiwa huyo akiwa na
kete hizo 66 nyumbani kwake.
“Mtu humiwa
huyu anatarajiwa kufikishwa mahakama ya Kisutu leo ili kuweza kujibu tuhuma zinazo mkabili
ambapo tuna toa wito kwa wananchi kutoa taarifa poli endapo wata muhisi mtu
waaina hiyo,” anasema Msikhela.
Anasema
Jeshi la Polisi linaendelea na Oparesheni ya kupambana na madawa ya kulevya ili
kuakikisha wana wa dhibiti wa fanya biasha hiyo nchini.
Aidha kuendelea kwa biashara hiyo nchini
kumechangiwa na kuwepo kwa mipaka mirefu katika maeneo ya baharini pamoja nan
chi kavu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni