Jumanne, 24 Mei 2016

WATALAM WAUPASUAJI NCHINI INDIA KUSHIRIKIANA NATANZANIA.

Timothy Marko.

TAASISI ya Moyo ya Jakaya kikwete kwa kushirikina na Hospitali ya BLK yanchini India imeweza kufanya upasuaji mkubwa wamoyo mkubwa baada yakupandikiza mishipa ya damu kwenye moyo .


Akizungumza na waandishi wa habari mapema hii leo jijini Dar es salaam Kaimu Mkurugenzi wa taasisi hiyo Dk.Peter Kisenge amesema kuwa upasuaji huo wa moyo ni  upasuaji wakwanza katika ukanda wan chi za afrika Mashariki nakati.


‘’Watalamu hawa watakuwa kwakipindi cha muda siku mbili watatoa mafunzo kwa watoa huduma ya taasisi yamoyo ambapo zaidi yashilingimilioni180 zitatumika katika undeshaji wamradi huu ‘’Alisema Kaimu Mkurugenzi Peter 


Kaimu Mkurugenzi Peter alisema kuwa sambamba nazoezi hilo laupasuaji wamishipa yadamu kwenye moyo pia taasisi hiyo inatarajia kuwapa mafunzo wa taalamu wa sekta hiyo .Alisema upasuaji huo utaendana sambamba naupasuaji wakifua ,vipandikizi na vizibua njia na huduma nyinginezo .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni