HELSAB :TUTAWACHUKULIA HATUA ZA KISHERIA WADAIWA SUGU WAMIKOPO .
Timothy Marko.
Bodi yamikopo ya Elimu ya juu (HELSAB) imesemakuwa itawachukuklia hatua kwa wadaiwa sugu baada ya siku sitini ilikuweza kulipa madeni hayo .
Akizungumza na waandishi wahabari Mkurugenzi wa urejeshwaji wamikopo nchini Robert Kibona amesema kuwa sambamba nakutoa agizo hilo pia bodi hiyo imewataka waajiri kuwasilisha taarifa za waajiriwa wao waliohitimu katika vyuo mbalimbali nchini nanje ya nje taarifazilizopaswa kuwasilishwa zilitakiwa kujumuisha majina kamili ya waajiriwa ,vyuo na mwaka waliohitimu .
''Lengo lakutoa siku sitini ilikuwa nikuharakisha madani yote yana kusanywa ilkuweza kuongeza uwezo wakuwakopesha watanzania wengi zaidi ''Alisema Robert Kibona
Mkurugenzi Kibona alisema kuwa katika kipindi hicho cha siku sitini jumla yawanufaika 2,007 waliokuwa wakidaiwa shilingi bilioni 1.93 waliweza kurejesha mikopo yao.
Alisema baada ya tathini hiyo imeonesha kumekuwa mwitikio mkubwa kwasiku hizo ambapo wanufaika wengi wamenza kunufaika namikopo hiyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni