Jumatano, 16 Machi 2016

WATU MILIONI 14 WANAKABILIWA NA UGONJWA WA KISUKARI KUSINI WA JANGWA LA SAHARA.



Timothy Marko.
TAKRIBANI watu milioni 14 waliopo katika nchi za  kusini mwajangwa la Sahara wanakabiliwa na ugonjwa wa kisukari.
Idadi hiyo inatarajiwa kuongezeka nakufikia milioni 28 itakapo fika mwaka 2040 .

Akitoa takwimu hizo zimetolewa hii leojijini  na Mkurugenzi msaidizi kutoka wizara yaafyamaendeleo yajamii jinsia nawatoto Ayub Magimba katika kongamano la wadau waugonjwa wa kisukari duniani amesema kuwa idadi kubwa yawgonjwa wakisukari nchini wapo katika maeneo yamijini jambo linalochangiwa na ulaji mbaya wavyakula na mtindo wa maisha .

‘’WAKATI Tanzania ikiwa na mzigo mkubwa wakudhibiti ugonjwa wa ukimwi na malaria gonjwa hili lakisukari limekuwa likipoteza watu nanguvu kazi yajamii kutokana na gharama kubwa ya matibabu yakisukari ‘’Alisema Mkurugenzi msaidizi wa magonjwa yasiyo yakuambukiza Ayubu Magimba .

Magimba alisema kuwa katika kupambana  na ugonjwa wa kisukari nchini ,Tanzania kwakushirikiana na taasisi za kudhibiti ugonjwa wakisukari duniani ilkuweza kutokomeza ugonjwa huo.

Kwa upande wake muwakilishi washirika la afya duniani tawi la Tanzania Stephen Shongowe amesema kuwa Tanzania imekuwa ikikabiliwa na changamoto kubwa ya kukabiliana na kudhibiti ugonjwa wakisukari ,shilika hilolipotayari kushirikiana na Tanzania katika kukabiliana naugonjwa huo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni