Jumatano, 16 Machi 2016

Dkt. Steven Shongwe, WHO-AFRO, akizungumza na waandishi wa habari mapema hii leo kuhusiana na Mkutano wa Kisukari utakaofanyika jijini Dar es Salaam, Tarehe 17-18 March

Kutoka kushoto: Profesa Ayoub Magimba -  Kutoka  Wizara ya Afya Tanzania, Dkt. Steven Shongwe, WHO-AFRO, Dkt. Kaushik Ramaiya: Mshauri Mganga na Afisa Mtendaji Mkuu wa Hosipitali ya Shree Hindu Mandal, ambaye pia ni Katibu wa kitengo cha Watafiti wa ugonjwa wa kisukari Afrika Mashariki (EADSG), na Dkt. Mr. Anders Dejgaard: Mkurenzi Mtendaji wa Mfuko wa Kisukari Duniani (World Diabetes Foundation)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni