Timothy Marko.
SERIKALI imesema kuwa itashirikiana na wadau mbalimbali waliopo katika sekta ya afya ilikuweza kukabiliana na ugonjwa wakisukari kwa kuhakikisha wagonjwa wa kisukari wanapatiwa matibabu ya ugonjwa huo bila gharama yeyote.
Akizungumza katika kongamano lakimataifa lasiku yakisukari duniani jijini Dar es salaam mapema hii leo Naibu waziri wa afya jinsia watoto wanawake,wazee na maendeleo yajamii Dk.HAMISI KIGWANGALA amesema kuwa Tanzania imekuwa ikipoteza watu takribani 2000 kutokana na ugonjwa wa kisukari kila mwaka.
''Takwimu zinaonesha watu milioni415wamekuwa wakiugua ugonjwa wakisukari duniani wakati Tanzania imekuwa ikipoteza watu takiribani 2000 kila mwaka kutokana naugonjwa wakisukari kutokana nakutomudu gharama za dawa pamoja na matibabu ya ugonjwa wa kisukari ''Alisema Naibu waziri wa afya Haimisi Kigwangala .
Naibu waziri KIGWANGALA alisema kuwa hali yaumasikini kwabaadhi ya wagonjwa wakisukari kutoweza kumudu Gharama za matibabu huchangia baadhi ya watoto na watu wazima kutoweza kupata huduma za afya kutokana nagharama za vifaa tiba na dawa kuwa niza juu hali inayopelekea vifo vya wagonjwa hao kuweza kuongezeka nchini.
Alisema Serikali inaweka mikakati ikiwemo kuweza kugharamia huduma za afya kwangazi za zahanati na hospitali kuu ili wa wagonjwa hao waweze kutibiwa ilkuweza kupunguza kasi yavifo vyaugonjwa wakisukari nchini.
Dr Anil Kapur ambaye nimwanachama watasisi ya watu wenye ugonjwa wakisukari Tanzania amesema kuwa alisema kuwa inakadiriwa kilamwaka watoto wenye chini yaumri wamiaka mitano hufariki kutokana na ugonjwa wakisukari .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni