Timothy
Marko .
JUMLA ya
WAGONJWA wapatao 758 wameripotiwanchini , kuwa naugonjwa wakipindupindu nchini mwezi
huu ikilinganishwa namwezi Febuari ambapo jumla ya wagonjwa 544 waligundulika
kuwa naugonjwa huo .
Akizungumza
na waandishi wa habari Kaimu Katibu mkuu Wa wizara ya afya ,maendeleo ya jamii
,jinsia ,wazee na watoto Michael Jonh amesema kuwa mikoa inayoongoza kwa kuwa
na wagonjwa wengi nipamoja mikoa yamorogoro ikiwa nawagonjwa 196 ,Dodoma 142
,mwanza 108 ,Mara 86 Manyara 77,Iringa 77.
‘’Mikoa
mingine iliyoripotiwa kuwa nawagonjwa wakipindu pindu nipamoja na Dar es salaam
wagonjwa 42,Mbeya wagonjwa 16 Arusha 10 lindi 2 mtwara 2 na Rukwa wagonjwa
wawili’’ Alisema KAIMU Katibu mkuu Michel JONH.
KAIMU katibu
mkuu JONH aliwataka viongozi waserikali zamitaa wilaya pamoja na vijiji kuweza
kushirikiana na maafisa afya katika maeneo yao kuendeleza mapambano ya
kutokomeza mapambano ya vita dhidi yakipindu pindu .
Alisema kuwa
nilazima kilawilaya naserikali za mitaa kuendelea kutoa taarifa za wagonjwa
wapya waugonjwa huo ilkuweza kusaidia mikakati yakudhibiti ugonjwa huo .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni