Jumanne, 2 Februari 2016

RAIA MMOJA WA PAKISTAN ASHIKILIWA NA IDARA YA UHAMIAJI


MTUHUMIWA RAIA WA PASKSTAN NAUMAN KHALILU REHEMAN AKISHIKILIWA NA MAOFISA WA UHAMIAJI KWA KOSA LA KUINGIA NCHINI KINYUME CHA  SHERIA MAPEMA HII  LEO JIJINI DAR ES SALAAM


MKUU WA UHAMIAJI MKOA WA DARES SALAAM JONH MSUMULE AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI HAWAPO PICHANI

Timothy Marko
JESHI LA POLISI idara ya Uhamiaji linamshikilia Raia wa pakistan kwa tuhuma za kuishi nchini kwa miaka minne kinyume cha sheria kwa kutokuwa na kibali.

Nauman Khalilur Rehman (33) anadaiwa kuwashawishi maofisa wa idara ya uhamiaji wa mkoa wa Dar es salaam kwakutoa sh70,00000 kupatiwa kibali hicho .

Akizungumza na waandishi wa habari Mkuu wa idaraya uhamiaji mkoa wa Dar es salaam Jonh Msumule amesema kuwa mnamo Januari 29 mwaka huu raia huyo alikamatwa kwa kujishughulisha na kuwa fanyisha mazoezi watu (gymu)suala ambalo nikinyume na sheria za uhamiaji. 

‘’Raia huyu Nauman Khalilur Rehman tulimkamata akiji husisha na masuala ya michezo yakutunisha misuli bila kibali amekuwa narekodi nzuri katika michezo ,pia tuliweka mtego ambapo alitoa shilingi 70,00000 kwa maofisa wetu wa uhamiaji ili aweze kupatiwa kibali cha kuishi nchini ‘’Alisema Mkuu wa uhamiaji JONH MSUMULE .

Afisa Uhamiaji Jonh Msumule alisema kuwa kutokana mtuhumiwa huyo wa paskistani pia JESHI hilo linawashikilia nuru Mohamed ambaye niwakili wakujitegemea kwa kugushi nyaraka za idara hiyo ilimtuhumiwa huyo apewe kibali naidara hiyo.

Wengine wanaoshikiliwa na idara hiyo nipamoja na Mteze Dewiji ambaye nifanya biashara  ,David wakalebela ambaye nimchezaji wazamani kwakumhifadhi mtuhumiwa huyo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni