Timothy Marko.
ASKOFU wa Huduma ya Good News for all Ministry Charles Gadi amemuomba Rais
wa awamu ya Tano wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania Jonh Magufuli aweze
kuwaruhusu wazazi kuendelea kuchangia chakula cha wanafunziwaliopo Mabwenini
wakati serikali ikitafuta suluhisho lautoaji huduma chakula mashuleni
Add captionAskofu CHALES GADI AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MAPEMA HII LEO |
‘’Tunamuomba
Rais Magufuli awasamehe na kuwarudisha kwenye kazi zao maana walifanyahivyo
kutokana na mazingira waliyokuwemo hivyo tunamuomba Rais magufuli awarudishe
walimu hawa makazini ‘’Alisema Askofu Charles Gadi .
Askofu GADI
alisemakuwa sambamba nakuwahurumia watumishi hao pia amemuomba Rais Magufuli
kuweza kuwa rudisha watumishi 65 wa wizara yaafya ambao walitakiwa kufukuzwa
kwamujibu wa habari iliyotolewa na gazeti lanipashe la tarehe 31 januari mwaka
huu kuwa watumishi 65 wawizara hiyo kufukuzwa kazi .
Alisemakuwa
amefurahishwa na kasi yake kurudisha nidhamu katika ofisi za umma
kwakutowaruhusu watumishi waserikali kutokwenda nchi za nje .
‘’Jambo hili
limepunguza gharama kubwa za serikali na kuokokoa mabilioni yafedha fedha
ambazo zingeingizwa katika miradi mingine ‘’Aliongeza Askofu Gadi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni