Jumatano, 27 Januari 2016

TPDC : SERIKALI IPO TAYARI KUPITIA MIKATBA YAGESI ITAKAYO WANUFAISHA WANANCHI.



Timothy Marko.
Shilika la Maendeleo ya petrol na Mafuta nchini (TPDC) limesema kuwa serikali ipotayari kuingia mikataba yauchimbaji wa mafuta nagesi na wawekezaji wa nje na ndani yanchi itakayowezesha watanzania kunufaika narasmali hiyo.

Akizungumza katika semina ya siku mbili kuwajengea uwezo waandishi juu yamasuala uchimbaji na uwekezaji katika sekta ya gesi na mafuta Mkurugenzi wa utafutaji nauendelezaji wamiradi ya mafuta nagesi wa shilika la TPDC Kelvin Komba, amesema kuwa kuekuwepo nautofauti ya kati ya mikataba ya gesi na ile ya madini .

‘’serikali itatumia mikataba itakayo wanufaisha wananchi nakuhakikisha TANZANIA inanufaika na mapato yatokanayo na gesi namafuta kwani mikataba hii nitofauti na ile ya  madini ‘’Alisema Mkurungenzi Kevin Komba .

Mkurugenzi kelvin KOMBA alisema kuwa serikali ipo katikahatua za awali katika kufanya mazungumzo nawawekezaji wa sekta hiyo muhimu katikaujenzi wamiundombinu kwani ujenzi wamiundombinu hiyo hutumia kipindi kirefu kuamilika na yenye kuhitaji kiasi kingi cha fedha kukamilisha miradi ya gesi .

Alisema kuwa kuhusiana nauchimbaji wa gesi na mafuta Bandari ya lindi imekuwa nasifanzuri yakimazingira ilikuwezesha mchakato wa uchimbaji wa mafutana gesi
.
‘’uchimbaji huu unakabiliwa nachangamoto nyingi ikiwemo ukosefu wa watalamu lakini tumeweza kuijengea uwezo wa vyuo vyetu vya ufundi kukabiliana na changamoto ya ramaliwatu ‘’Aliongeza Kelvin Komba.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni